Msaada nashindwa kutrack mzigo nilonunua aliexpress

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,612
Reaction score
4,721
Salam wakuu
Baada ya kuvutiwa na bidhaa za aliexpress na mimi nikaagiza bidhaa moja hivi
Nimeagiza toka tarehe 27/6 mpaka leo tarehe 9/7 bado mzigo wanadai upo hongkong
Najaribu kutrack inagoma kwa kutumia track no waliyonipa
Ijapokua wananipa info kuhusu mzigo ila nikitumia app ya 17track inagoma kuonyesha
Mzigo umetumwa kwa kutumia singapore post
Jee nitaupata mzigo bila kutrack?
 
Usiwe na stress mzigo utafika tu. Ali express hawana connection nzuri za kuleta mzigo east africa. Ndio sababu biashara ya drop shipping inafeli huku.

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Utafika ila unachukua muda sana,hata mwezi unaweza tumia,kutoka china kuja dar ungetumia aramex ipo cheap na faster sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…