Msaada: Nasumbiliwa na ugonjwa wa ngozi sehemu za siri nitumie dawa gani?

Nenda hospitali kapime Ni aina gani ya fangas unayo Kisha watakutibu kwa Aina ya dawa Itakayo kufaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…