mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 944
Hapana mkuu nilishaacha kutumia pombe mwaka wa tano huuUnakunywa pombe nyingi Sana?
Aisee hili tatizo naona lishakuwa common sana kwa sasa, kuna jamaa hapa ofcn wawili wameshaambiwa hvyo na wamepewa list ya vyakula vya kutokula.Habari wataalamu, huwa nasumbuliwa sana na Acid tumboni hivyo kusababisha kujisikia hali ya tumbo kuwaka moto, mwaka jana mwanzoni kuna mtu alinishauri nitumie dawa fulani inaitwa Ranitidine Lakini nasikia hii dawa imezuiliwa. Nilikuwa naomba msaada mbadala wa hii dawa tafadhali
True kabisa Mimi nilikuwa na tatizo Kama Hilo na vingi ulivyovieleza nilliambiwa now Niko vizur1 Kama nimpenzi wa kachumbali acha kabisa
2 Usile kuvimbiwa,kula chakula kidogo.
3.Usimalize kula alafu ukaenda kulala,tembea au simama kwa muda kidogo
Mkuu pole sana dawa zipo za kuondosha Asidi mwilini mwako Dawa za Asili ukitumia utaweza kupona.Habari wataalamu, huwa nasumbuliwa sana na Acid tumboni hivyo kusababisha kujisikia hali ya tumbo kuwaka moto, mwaka jana mwanzoni kuna mtu alinishauri nitumie dawa fulani inaitwa Ranitidine Lakini nasikia hii dawa imezuiliwa. Nilikuwa naomba msaada mbadala wa hii dawa tafadhali
Jaribu kutumia Omeprazole 1x2 kabla ya kula kwa mwezi mmojaHabari wataalamu, huwa nasumbuliwa sana na Acid tumboni hivyo kusababisha kujisikia hali ya tumbo kuwaka moto, mwaka jana mwanzoni kuna mtu alinishauri nitumie dawa fulani inaitwa Ranitidine Lakini nasikia hii dawa imezuiliwa. Nilikuwa naomba msaada mbadala wa hii dawa tafadhali
Ni vyema kuwapa nafasi wataalam wa afya kwani mambo mengine hufanana sana. Mfano wa hiki unachojaribu kukieleza kinaweza kuwa acid reflux.Aisee kwangu nahisi ishakuwa chronic gesi inatoka tumboni na kuniunguza sehemu za Koo la chakula
Ngoja nikimbilie hospital faster
Asante Sana, hapa kesho tu natinga hospital mapema kabisaNi vyema kuwapa nafasi wataalam wa afya kwani mambo mengine hufanana sana. Mfano wa hiki unachojaribu kukieleza kinaweza kuwa acid reflux.
Hivyo, watu huweza kuwa na:
1: Shida ya acid nying na gesi
2: Acid reflux
3: Vijiwe kwenye kwenye mfuko wa nyongo
Dalili hufanana kwa kiasi na tiba hufanana kwa kiasi. Lakini kuna mambo ya kuzingatia ambayo ni tofauti kidogo kulingana na tatizo.
Hivyo, unaweza kutumia dawa ukaona huponi kumbe tatizo lako ni tofauti na mwenzako.
Daaah mku ulipata dawa mana dalili zote hizo ninazoHabari...mi nasumbuliwa na mgongo Kama unawaka Moto sehemu za mabegani lakin pia mdomoni Kuna hali ya uchungu chungu na hapa sehem ya Koo kun mda Kama Kuna kitu flani hiv na mda mwingine panakauka
Pole Sana.Jaribu kutumia mbegu za unga WA parachichi zinaweza kusaidia.Habari wataalamu, huwa nasumbuliwa sana na Acid tumboni hivyo kusababisha kujisikia hali ya tumbo kuwaka moto, mwaka jana mwanzoni kuna mtu alinishauri nitumie dawa fulani inaitwa Ranitidine Lakini nasikia hii dawa imezuiliwa. Nilikuwa naomba msaada mbadala wa hii dawa tafadhali
Miss dawa yalo ni vidonge au unga unga wa kuchanganya?Uko wapi nikutumie dawa