Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa...?Hiyo siyo fangasi ni impetigo ya bacteria.
Nenda hospital hio ni kipanguaa au kioteo
Sawa matibabu yake ni yapi maana nisha kwenda mala kadhaa kumuona doctor nikaambiwa n fangus ila kila kitumia dawa napona then nalud tenaHiyo siyo fangasi ni impetigo ya bacteria.
Sawa shukranTumia sonaderm