mussa masoud
New Member
- Feb 4, 2014
- 1
- 0
JF Doctor,
Mimi nasumbuliwa na kitu kama kichomi hivi upande wa kushoto wa tumbo kwa muda mrefu, kama kunawaka moto lakini bila maumivu. Siwezi pia kustahamili kuwa na mkojo mwingi, naweza kukojoa mara kwa mara hasa nikinywa maji au juice.
Aidha nakuwa mchovu kwa kazi ndogo ya kutumia nguvu. Utotoni nilishambuliwa sana na malaria na nimetumia sana madonge yake kwa muda mrefu. Inaweza kuwa sababu ya kuathiri viungo vyengine? lakini pia niliugua TB wakati fulani baada ya kufanya kazi kwenye vyumba vya baridi.
Kula yangu ni ndogo, siwezi kula sana na hata usagaji wa chakula inaonekana kwenda pole pole.
Kupata choo ni shida kama sikupata matunda.
NISAIDIENI!
Hospitali hata ya Agakhan hawaja conclude kitu! napata stress kwa hilo.