Msaada nasumbuliwa na mafua na kukohoa sana hasa wakati wa usiku

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
839
HABAR WANAJF
Ninasumbuliwa sana na mafua ila kila ikifika usiku nakohoa sana yaan inakua tabu
yaani hii inanitokea usiku siku ya tatu hii
msaada tafadhali
 
fanya usafi wa kutosha au unalala store??fanya usafi uwe unalala dirisja wazi pia km unatumia fen acha kbsa
 
Hapo kwenye dirisha wazi mkuu kama jamaa anakaa uswahilini kwetu techno yake itaondoka
 
hahaha ajitahidi chumba akiwekee ulinzi aache madirisha wazi hewa ipate kuzunguka na kutoka
 
fanya usafi wa kutosha au unalala store??fanya usafi uwe unalala dirisja wazi pia km unatumia fen acha kbsa
Hanitoni umekichekesha[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
chukua tangawizi uitwange alafu ianike ikauke kabisa, alafu itwange yena iwe Inga. ule inga changanya na asali kidogo , kaanayo karibu usiku unakua unalamba hata ucku hiyo hai ikitokea lamba
 
Kama unapandisha homa, unatokwa na jasho hizo ni dalili za TB nenda kapime
 
mkuu ungekuwa dodoma ningekuelekeza majani ya mti fulani utafune umeze maji yake baada ya dk 15 kikohozi kitapona
 
makata ile iko.km chumvi unakunywa na chai ina harufu kaliii
 
Wakuu tatizo limejirudia baada ya mwaka mmoja siku kama ya leo ni siku ya tatu nakohoa sana
Kinachonishangaza ni kwamba tatizo limejirudia siku kama ya mwaka jana august 15 mwaka 2016nilianza kukohoa na juzi august 15, 2017 nimeanza kukohoa tena na leo ni siku ya 3 msaada pls
 
Back
Top Bottom