Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 839
Hapo kwenye dirisha wazi mkuu kama jamaa anakaa uswahilini kwetu techno yake itaondokafanya usafi wa kutosha au unalala store??fanya usafi uwe unalala dirisja wazi pia km unatumia fen acha kbsa
hahaha ajitahidi chumba akiwekee ulinzi aache madirisha wazi hewa ipate kuzunguka na kutokaHapo kwenye dirisha wazi mkuu kama jamaa anakaa uswahilini kwetu techno yake itaondoka
Kweli mkuu naamini mchango wako ataufanyia kazihahaha ajitahidi chumba akiwekee ulinzi aache madirisha wazi hewa ipate kuzunguka na kutoka
Hanitoni umekichekesha[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]fanya usafi wa kutosha au unalala store??fanya usafi uwe unalala dirisja wazi pia km unatumia fen acha kbsa
SIISHI HUKO MKUU NAKAA HOSTELuwe unafua hata net na mashuka aisee
Makata ndo nini? Na unatumiaje? Tuelekezane plz...MREJESHO; NIMEPONA BAADA YA KUTUMIA MAKATA YA KUNYWEA NA CHAI
Makata ndo nn??MREJESHO; NIMEPONA BAADA YA KUTUMIA MAKATA YA KUNYWEA NA CHAI
Inauzwa dukani hiyo makata?makata ile iko.km chumvi unakunywa na chai ina harufu kaliii