Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 839
- Thread starter
-
- #21
Unaishi wapi?HABAR WANAJF
Ninasumbuliwa sana na mafua ila kila ikifika usiku nakohoa sana yaan inakua tabu
yaani hii inanitokea usiku siku ya tatu hii
msaada tafadhali
Wakuu tatizo limejirudia baada ya mwaka mmoja siku kama ya leo ni siku ya tatu nakohoa sana
Kinachonishangaza ni kwamba tatizo limejirudia siku kama ya mwaka jana august 15 mwaka 2016nilianza kukohoa na juzi august 15, 2017 nimeanza kukohoa tena na leo ni siku ya 3 msaada pls
Mkuu kunywa maji lita 2 kila siku baada ya wiki tu utajisikia upo tofauti kabisa. Mimi nilikuwa nasumbuliwa sana na hayo mafua kwa sasa imebaki historia tu.HABAR WANAJF
Ninasumbuliwa sana na mafua ila kila ikifika usiku nakohoa sana yaan inakua tabu
yaani hii inanitokea usiku siku ya tatu hii
msaada tafadhali
Inga ndio nnchukua tangawizi uitwange alafu ianike ikauke kabisa, alafu itwange yena iwe Inga. ule inga changanya na asali kidogo , kaanayo karibu usiku unakua unalamba hata ucku hiyo hai ikitokea lamba
majani gani hayo mkuu? Saidia wenginemkuu ungekuwa dodoma ningekuelekeza majani ya mti fulani utafune umeze maji yake baada ya dk 15 kikohozi kitapona