Msaada: Nasumbuliwa na matatizo ya kichwa

Itzmusacmb

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Posts
1,531
Reaction score
1,134
Tangu nikiwa mdgo nasumbuliwa na matatizo ya kuumwa Kichwa na huwa knauma usawa wa jicho la kulia kwenye paji la uso (jicho la kulia kwa juu) na tatizo hilo hutokea hsa kama nikishinda na njaa muda mrefu ila cha ajab, wakat kama wa mfungo wa ramadhan kma huu maana mm n muislam namudu kufunga na siumwi kichwa!!! ,
Vlevle kchwa knaniuma kama nikiangalia Tv muda mrefu,nikikunja ndita mara kwa mara kama miale ya jua hunipga usoni,!!
Hali hii ikanifanya niende hospital na kupima wingi wa damu, presha ya macho na check up ya macho kwa ujumla,kiasi cha umeme kichwani maana labda ni kifafa jpo sina, ila kati ya hayo yote vipimo vinasema cna tatizo na nakunywa sana maji ila tatizo bado,
Sasa wana JF wenzangu mwenye kunishauri anishauri, ili niweze kupona
Asanteni.
 
Nione nipate kukutibia upate kupona. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…