mumak JF-Expert Member Joined Oct 24, 2013 Posts 1,069 Reaction score 668 Jan 20, 2016 #1 Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu huwa nasikia maumivu kwa mbali nikitembea mwanzo nilifikili uzito maana nilikuwa na kilo 85 nikajitahidei kupunguza kilo 2 bado nahisi maumivu sijui nitumie dawa gani.
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu huwa nasikia maumivu kwa mbali nikitembea mwanzo nilifikili uzito maana nilikuwa na kilo 85 nikajitahidei kupunguza kilo 2 bado nahisi maumivu sijui nitumie dawa gani.
Savimbi Jr JF-Expert Member Joined Sep 23, 2011 Posts 6,818 Reaction score 9,183 Jan 23, 2016 #2 Malaria Hiyo Nenda kapime hospital.