TyterBanks
New Member
- Jan 10, 2024
- 1
- 2
una miaka mingapi? if old age ni tezi dume beginning trouble. see a urologistNdugu wana jamii forum ni matumaini yangu kua mu bukheri wa afya.
Sasa ndugu zangu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kukojoa mara kwa mara pasipo maumivu yoyote isipo kuna hali fulani hivi ya kuvimba upande wa kushoto pindi napo taka kukojoa ma kabla ya kukojoa. Na sikwamba nakunywa maji mara kwa mara lahashaa ni vile hali inanitokea tu.
Je, ni kweli ni shida ya kibofu au figo?
So kama kuna madaktari tusaidiane kujua tatizo, coz nshaenda hospital pasi mafanikio yoyote
Nenda kapime figo , kisukari na tezi dume kisha uje hapa utupe mrejesho wako uguwa pole.Ndugu wana jamii forum ni matumaini yangu kua mu bukheri wa afya.
Sasa ndugu zangu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kukojoa mara kwa mara pasipo maumivu yoyote isipo kuna hali fulani hivi ya kuvimba upande wa kushoto pindi napo taka kukojoa ma kabla ya kukojoa. Na sikwamba nakunywa maji mara kwa mara lahashaa ni vile hali inanitokea tu.
Je, ni kweli ni shida ya kibofu au figo?
So kama kuna madaktari tusaidiane kujua tatizo, coz nshaenda hospital pasi mafanikio yoyote
Wanapima kwa damu wacha kusikiliza majungu ya kwenye kahawa.Siku hizi kuna tiba ya kisasa zaidi hutiwi kidole.Bora nife tu kuliko kupima tezi dume yani unatiwa dole kwenye marinda
Coming soon ama anayo tayari?sukari coming soon
Bakia na ubishi wako.Siku hizi wanachukua sample ya damu tu baada ya muda unapata majibu.Hamna bana wanatia dole. Awamu ya nne ilibidi apimwe muhimbili akasita akaona dah yani apimwe na mmatumbi mwenzake tena mchaga kina dokta shirima akaona bora akapimwe tu mambele na wazungu