"Habari viongozi, polen na majukumu, samahani naomba msaadq wadau mwenye kujua dawa......nasumbuliwa sana na tatizo la tumbo kujaa gas kwa muda sasa, dawa za hospitali zimeshindikana na nimepima vipimo vyote vya vidonda vya tumbo nimekuta sina.
Hali hii ya maumivu imenifanya nashindwa kufanya majukumu yangu ya kutafuta riziki, naomba kwa anayejua hili tatizo na tiba yake aniambie tafadhali, nasoma komenti [emoji120][emoji120][emoji120].