Msaada: Nasumbuliwa na vidonda kwenye korodani

Msaada: Nasumbuliwa na vidonda kwenye korodani

Tido jr

Member
Joined
Feb 27, 2022
Posts
10
Reaction score
9
Habari waungwana,

Nasumbuliwa na vidonda vibich kwenye ngozi ya pumbu huwa vnatokea na kupotea vyenyewe baada ya mwez vnatokea tena kama lengelenge vile lililopasuka nahc n ugonjwa wa znaa msaad kwa waliowai ugua ugonjwa huu na wameponea dawa gani?

Ushaur tafadhali?
 
Mkuu😂😂 nisamehe ila nimecheka ulivolitaja nanii jina lake kama lilivyo😂.

Ila mkuu sehemu sensitive hivo nadhani msaada wa kwanza na hakika kabisa ni hospitali.
 
Mkuu😂😂 nisamehe ila nimecheka ulivolitaja nanii jina lake kama lilivyo😂.

Ila mkuu sehemu sensitive hivo nadhani msaada wa kwanza na hakika kabisa ni hospitali.
Acha mtisha bhana ni fungus tu asafishe vidonda na oral medi tu
 
Mkuu[emoji23][emoji23] nisamehe ila nimecheka ulivolitaja nanii jina lake kama lilivyo[emoji23].

Ila mkuu sehemu sensitive hivo nadhani msaada wa kwanza na hakika kabisa ni hospitali.
Kabisa awahi hospital yaan.
 
Back
Top Bottom