Msaada: Nasumbuliwa na vidonda kwenye korodani

Tido jr

Member
Joined
Feb 27, 2022
Posts
10
Reaction score
9
Habari waungwana,

Nasumbuliwa na vidonda vibich kwenye ngozi ya pumbu huwa vnatokea na kupotea vyenyewe baada ya mwez vnatokea tena kama lengelenge vile lililopasuka nahc n ugonjwa wa znaa msaad kwa waliowai ugua ugonjwa huu na wameponea dawa gani?

Ushaur tafadhali?
 
Mkuu😂😂 nisamehe ila nimecheka ulivolitaja nanii jina lake kama lilivyo😂.

Ila mkuu sehemu sensitive hivo nadhani msaada wa kwanza na hakika kabisa ni hospitali.
 
Mkuu😂😂 nisamehe ila nimecheka ulivolitaja nanii jina lake kama lilivyo😂.

Ila mkuu sehemu sensitive hivo nadhani msaada wa kwanza na hakika kabisa ni hospitali.
Acha mtisha bhana ni fungus tu asafishe vidonda na oral medi tu
 
Mkuu[emoji23][emoji23] nisamehe ila nimecheka ulivolitaja nanii jina lake kama lilivyo[emoji23].

Ila mkuu sehemu sensitive hivo nadhani msaada wa kwanza na hakika kabisa ni hospitali.
Kabisa awahi hospital yaan.
 
Acha mtisha bhana ni fungus tu asafishe vidonda na oral medi tu
Mmh asije akawa anatibu nje tu, better hospital ndiyo watajua kama apake dawa gani baada ya vipimo.

Usitumie dawa kwa kuhisi tatzo, nenda kaconfirm hospital.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…