Msaada natafuta chroloquine kwa bei yeyote mseto haisaidii

Silicon Valley

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
1,092
Reaction score
1,118
Wakuu kwa yeyote anayeweza kunisaidia nikapata hizo dawa tafadhali nijulishe PM ambazo hazija expire nadhani pana nchi jirani bado wanazitumia unaweza kupata zawadi japo maji wa kunywa. Natanguliza SHUKRANI
 
itategemea na expiring date, kama bado muda wa kutosha na sio ghali hata kopo, vinginevyo nikipata dose 20 yaani 20x10 tablets nisaidie mkuu

Pouwa, nitakujulisha kwa PM kati ya kesho na jumanne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…