Navegante Member Joined Aug 24, 2016 Posts 84 Reaction score 49 Aug 27, 2024 #1 Wakuu habari za majukumu ,natafuta chumba cha kupanga kiwe self contained, kiwe na jiko na pia mazingira yenye usalama kwa maeneo ya Arusha-Njiro road kikipatikana mpaka maeneo ya kontena itakua vyema zaidi kwa bajeti ya 80,000-100,000.
Wakuu habari za majukumu ,natafuta chumba cha kupanga kiwe self contained, kiwe na jiko na pia mazingira yenye usalama kwa maeneo ya Arusha-Njiro road kikipatikana mpaka maeneo ya kontena itakua vyema zaidi kwa bajeti ya 80,000-100,000.