Msaada natafuta display original ya Nokia G10

Msaada natafuta display original ya Nokia G10

PureView zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
10,786
Reaction score
35,916
Habarini wanduguuu!!
Natafuta maduka ambayo naweza kupata display original ya Nokia G10 nimeuliza hapa kariakoo aggrey Street zipo lkn najua ni makanjanja Tu..

Sijajua Kwa mitaa ya posta ni maduka gani naweza kupata display original kwasababu nipo tayari kugharamia Kwa kiasi chochote cha fedha ilimradi simu yangu irudi kama Zamani.......asanteni sana
 
Sijaongea kufurahisha umma kaka mimi mwenyew natumia G20 hapa haina hata miezi mitatu ila machungu nnayopitia najuta kabisa kuuza Redmi note 8 yangu japo hii inakaa na charge sana ila...
Sijaona changamoto yoyote Ile kwenye G10 ni simu nzuri na siwezi kuiacha na Nina mpango WA kununua G20 mwakani
 
Kwa mara ya kwanza nineihama Nokia, baada ya kuitafuta 5.4 na kuikosa sijaona Nokia nyingine nzuri. G series ni nzuri kweli?
 
Sijaona changamoto yoyote Ile kwenye G10 ni simu nzuri na siwezi kuiacha na Nina mpango WA kununua G20 mwakani
.........Unfortunately has stopped System processor has stopped simu kuganda ukiwa umeitumia sana playstore certification issues
 
Nikikupatia Nokia 5.4 mpya kabisa utalipa tshs ngapi?
Mkuu, nilikuwa naitaka hiyo, nikajichanga. Si unajua life letu, nikapata hiyo hela, pale samora wanauza 500k. Nilivyoenda nikazikosa..kabisaaa! Nikaangukia kwingine kabisa, samsung..kwa mara ya kwanza!!
 
Back
Top Bottom