PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Ok asante sanaSimu Yenyewe Tu Fake alafu ndo upate Display original kweli😂😂
Sijaongea kufurahisha umma kaka mimi mwenyew natumia G20 hapa haina hata miezi mitatu ila machungu nnayopitia najuta kabisa kuuza Redmi note 8 yangu japo hii inakaa na charge sana ila...Ok asante sana
Sijaona changamoto yoyote Ile kwenye G10 ni simu nzuri na siwezi kuiacha na Nina mpango WA kununua G20 mwakaniSijaongea kufurahisha umma kaka mimi mwenyew natumia G20 hapa haina hata miezi mitatu ila machungu nnayopitia najuta kabisa kuuza Redmi note 8 yangu japo hii inakaa na charge sana ila...
.........Unfortunately has stopped System processor has stopped simu kuganda ukiwa umeitumia sana playstore certification issuesSijaona changamoto yoyote Ile kwenye G10 ni simu nzuri na siwezi kuiacha na Nina mpango WA kununua G20 mwakani
Nikikupatia Nokia 5.4 mpya kabisa utalipa tshs ngapi?Kwa mara ya kwanza nineihama Nokia, baada ya kuitafuta 5.4 na kuikosa sijaona Nokia nyingine nzuri. G series ni nzuri kweli?
Mkuu, nilikuwa naitaka hiyo, nikajichanga. Si unajua life letu, nikapata hiyo hela, pale samora wanauza 500k. Nilivyoenda nikazikosa..kabisaaa! Nikaangukia kwingine kabisa, samsung..kwa mara ya kwanza!!Nikikupatia Nokia 5.4 mpya kabisa utalipa tshs ngapi?