Msaada, natafuta fundi anayeshona vizuri nguo za kike

Msaada, natafuta fundi anayeshona vizuri nguo za kike

miss chuga

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2019
Posts
303
Reaction score
660
Habari zenu wapendwa?

Poleni na majukumu nipo Dodoma mjini natafuta fundi anayeshona vizuri nguo za kike nataka nishone nguo ya shughuli, naombeni anayemfahamu kwa hapa Dodoma anielekeze mahali wanapopatikana au anisaidie namba zake. Asanteni sana.
 
Back
Top Bottom