M miss chuga JF-Expert Member Joined Dec 25, 2019 Posts 303 Reaction score 660 Nov 30, 2020 #1 Habari zenu wapendwa? Poleni na majukumu nipo Dodoma mjini natafuta fundi anayeshona vizuri nguo za kike nataka nishone nguo ya shughuli, naombeni anayemfahamu kwa hapa Dodoma anielekeze mahali wanapopatikana au anisaidie namba zake. Asanteni sana.
Habari zenu wapendwa? Poleni na majukumu nipo Dodoma mjini natafuta fundi anayeshona vizuri nguo za kike nataka nishone nguo ya shughuli, naombeni anayemfahamu kwa hapa Dodoma anielekeze mahali wanapopatikana au anisaidie namba zake. Asanteni sana.
Little brain JF-Expert Member Joined Oct 31, 2020 Posts 4,282 Reaction score 6,303 Nov 30, 2020 #2 Njoo PM.