zincobinyo
Member
- Mar 21, 2015
- 23
- 20
gari ya cc ngapiHabari za leo ndugu zangu.
Natafuta gari ndogo ya kufanyia kazi ya taxi. Ninaishi Dar es Salaam, nina uzoefu wa kazi hii kwa muda kidogo, pia nina account za makampuni makubwa kama Uber, Taxify (Bolt) na Ping.
Hata kwa anayehitaji dereva nina leseni class C1,C2 na C3. Kwa yeyote mwenye gari au anayemfahamu mwenye gari, naomba tuwasiliane kwa namba hii 0620 281 541.
Asante.
Gari yenye cc 1400 kushuka chino.gari ya cc ngapi
Ndugu yangu amini unachoona sio kusikia, hakuna biashara inayokosa changamoto, kama gari unayo Naomba tuwasiliane tufanye mazungumzo.Mimi ninayo na hua nawaza niifanye uber ila hadithi za ambao wameshafanya uber zimenikatisha tamaa
Sorry nimekosea ni 1400 kushuka chini.Gari yenye cc 1400 kushuka chino.
okaySorry nimekosea ni 1400 kushuka chini.