Puppy
JF-Expert Member
- Oct 6, 2011
- 2,995
- 2,513
Ndugu Zangu.
Zingatia kichwa hapo juu. Nina mgonjwa wa mguu kwa muda sasa na tumejaribu matibabu mengi sana bila nafuu.
Wiki kadhaa nyuma akapata mtu alie na vidonge vya dawa tajwa hapo juu. Kwa maelezo yake mwenyewe (mgonjwa) alihisi utofauti na matumaini. Hata sisi tunaomuuguza tuliona.
Sasa naitafuta hiyo dawa sana ' Glucosamine with HCL and MSM' ili atumie.
Kama kuna anaejua naipataje hapa Tanzania ntashukuru sana. Lakini pia hata kama ni kwa kuagiza nje ya nchi pia nikipewa mwangaza ntashukuru sana.
Natanguliza shukrani zangu za dhati