pole sana mkuu. jaribu kwenda pharmacy kubwa kama J.D pale mlimani city au posta, Nakiete Mwenge, Manzese darajani kuna famasi moja kubwa hivi jina nimesahau, na nyingine ipo sinza kijiweni opposite delux hall. Nadhani hata kama hzo sehemu tajwa hawana, watakueleza wapi pa kuipata au hata kama kuagiza watakuelekeza what to do Pole, Mungu akuwezeshe mfanikiwe kupata hyo dawa.Bado nina uhitaji ndugu zanguni
Nashukuru mkuu ntaifanyia kazipole sana mkuu. jaribu kwenda pharmacy kubwa kama J.D pale mlimani city au posta, Nakiete Mwenge, Manzese darajani kuna famasi moja kubwa hivi jina nimesahau, na nyingine ipo sinza kijiweni opposite delux hall. Nadhani hata kama hzo sehemu tajwa hawana, watakueleza wapi pa kuipata au hata kama kuagiza watakuelekeza what to do Pole, Mungu akuwezeshe mfanikiwe kupata hyo dawa.