Habari za Jumapili wadau, naomba mwenye wimbo jina lake unaitwa NITUME MIMI BWANA kuna mapadre sijui ndo wameimba, ila ni wanaume pekee ndo wameuimba,
Mwenye nae auweke tu hapa niuchukue maana huko google kote hakuna pa kuichukua zaidi tu upo YouTube na mi sitaki, nataka tu ukae kwenye simu nikiwa na mood nau play,
NIWATAKIE JUMAPILI NJEMA ,
Ntachooooooo🙂 hii imeenda