AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,367
- 1,293
Nipo Dar es salaam mkuuUna patikana wapi boss?
Mtoto wa dada
Ana miaka 28
Kamaliza degree 2017
Digital baseUna patikana wapi boss?
Haujaweka namba ya simuHabari wana jamvi.
Nina mtoto wa dada wa kiume anamiaka 28 , amemaliza degree ya accountancy mwaka 2017 , nilimuingiza kwenye biashara , sasa anataka pata ajira biashara ngumu.
Hana uzoefu wa kazi ya uhasibu yoyote ,ila ni muelewa wa haraka na yupo tayari kujitolea mkoa wowote tanzania.
Nitashukuru kwa msaada.