Msaada: Natafuta makaratasi ya rangi ya kaki ya kutengeneza mifuko na vifungashio

molwe

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2015
Posts
416
Reaction score
440
Habari zenu!! Nahitaji msaada kama kichwa Cha mada kinavyojieleza!! Nataka kutengeneza vifungashio Kama njia ya ujasiriamali. Naomba anaefahamu sehemu ninayoweza kupata anisaidie!!
Natanguliza shukrani¡
 
Nenda kiwanda cha karatasi changombe utauziwa bado kubwa kwenye 300,000 hivi au na point, lkn yanakuwa mengi sana.

Back
Top Bottom