Msaada: Natafuta mashine za kunyoa nywele

Msaada: Natafuta mashine za kunyoa nywele

Yaleyale

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
1,793
Reaction score
2,401
Kulingana na janga la Corona. Nimeamua madogo niwe nawanyoa mwenyewe nyumbani. Naomba kujua nitapata wapi hizi mashine kwa hapa Dar es Salaam?
 
Kulingana na janga la Corona. Nimeamua madogo niwe nawanyoa mwenyewe nyumbani. Naomba kujua nitapata wapi hizi mashine kwa hapa Dar?
Nenda pale FIRE kwenye kituo cha mafuta ORYX pembeni yake njia ya daladala za TEGETA kuna maduka ya vifaa vya saloon utapata.

I'll be back
 
Back
Top Bottom