Kwa nini hutaki kuishi karibu na msikiti au kanisa ama bar?Habari wakuu natafuta masta room maeneo ya kimara (bucha-rombo),sinza,survey na mikocheni
Vigezo
Kiwe cha njee yani sio ndani ya nyumba
Maji yawepo
Mbali na msikiti,kanisa au bar
Wapangaji wachache
BAJETI
150k kushuka....
NB:bei inaweza ongezeka kulingana na ubora wa chumba na sehemu.
Bar nakubali lakini kanisa na msikiti kelele si sana. Labda msikiti ukute wanasali wandengereko ndio kuna kelele.Kazi zangu hazihitaji kelele mkuu na hayo maeneo yanazalisha sauti za juu sana