Msaada: Natafuta Miwani ya Kuogelea Wandugu

Msaada: Natafuta Miwani ya Kuogelea Wandugu

mdongooo

Member
Joined
Jun 20, 2019
Posts
8
Reaction score
3
Hello guys, kuna yeyote mwenye taarifa yeyote juu ya sehemu naweza pata miwani ya kuogelea mtu mzima kwa hapa Dar.
 
Nenda mlimani city kwenye hizo supermarket huwezi kosa,nadhani the game wanayo hiyo miwani.
 
Hello guys, kuna yeyote mwenye taarifa yeyote juu ya sehemu naweza pata miwani ya kuogelea mtu mzima kwa hapa Dar.
Watafute hao jamaa niliziona kwenye page yao ya instagram
Screenshot_20210812-015458_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom