Msaada; natafuta mkopo wa laki3 kwa wale wa dodoma ndo rahis zaidi

Nyrum

Senior Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
124
Reaction score
41
Habari wandugu, me mwanamke mjasiriamali nipo dodoma huku na biashara zangu. Kuna jambo nimekwama kdgo ndugu zangu naomba mtu aniazme laki3 dhamana yangu cm ya galaxy Ace . Unanipa pesa hyo nakurudshia kwa riba kila baada ya siku2 narejesha elf70 mpk deni liishe. Kma umeguswa naomba uniPM nikupe namb zangu.
 
Mjasiriamali unafanya biashara gani hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…