Msaada natafuta motherboard ya Tv Panasonic

Msaada natafuta motherboard ya Tv Panasonic

MKONGORO

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
343
Reaction score
304
Wakuu habarini za majukumu! Natafuta mother board ya hii Tv panasonic tafadhali naombeni msaada kwa mwenye kujua wapi naweza ipata 0683965391
 

Attachments

  • IMG-20230212-WA0292.jpg
    IMG-20230212-WA0292.jpg
    130.7 KB · Views: 3
Ok kila la kheri na mimi nilitafuta mother board ya philipips mpaka nikaishia kutupa Tv
 
Mkuu ulifanya vibaya kutupa ungeleta hapa hapa ni mwisho wa matatizo yote soon mimi nitaipata tu ngoja waje wataalamu
 
Back
Top Bottom