Msaada: Natafuta ndege BOING 737 used ya kununua

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
2,567
Reaction score
416
Wakuu natafuta ndege aina ya BOEING 737 used niinunue inisaidie katika misele yangu ya kila siku na mambo fulani ya kula bata, ambaye anajua sehemu zilipo anijuze hapa please
 
Google ...George Hallack . na Mmasi RIP utapata full information kuhusu used Boeing na jinsi ya kununua au ku Lease.
 
Wakuu natafuta ndege aina ya BOEING 737 used niinunue inisaidie katika misele yangu ya kila siku na mambo fulani ya kula bata, ambaye anajua sehemu zilipo anijuze hapa please

vip line treni nalo je ulishasusa, leo uko na Boeing Airplane!? Ha ahaa haa K 4 LIFE
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ukipata usisahau kuna kufanya service kwenye karakana yangu barabara ya Chang'ombe .
Pia tunatoa huduma ya kuziba pancha, wheel allignment na Washing Bay...
Karibu sana
 
poa mkuu nitakucheki sawa
 
Mkuu unafanya kazi TRA nini? Maana huko mtu kuwa na majumba 73 sio ajabu.
 
Unataka ukajitoe mhanga Kama....... But mi nnayo mpya kwa bei poa
 
Wakuu natafuta ndege aina ya BOEING 737 used niinunue inisaidie katika misele yangu ya kila siku na mambo fulani ya kula bata, ambaye anajua sehemu zilipo anijuze hapa please

Shule zfunguliwe tu..
 
Huyu K 4 LIFE bila shaka atakuwa ni@Lukelo Siafu katika ID nyingine.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…