Msaada Natafuta past papers za EGM za national exams

Msaada Natafuta past papers za EGM za national exams

gpblaze

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Posts
304
Reaction score
14
Natafuta past papers za EGM za national exams. Msaadaa za kidato cha sita.
 
Duh, hizo hauwezi kugoogle. Ungeomba hapo shuleni kwako waliokutangulia ukatoa copies labda? Kila la kheri.
 
Maana si unajua sisi wa kishuleshule tena
 
Nyambari yeye anazo? Hebu nipatie namna ya kumpata
 
Hapa ni mtu anahitaji papers tu hahitaji maneno yako ya taka kutoka kwenye mdomo wako ulio na taka
 
Mtu rabish kama wewe vuvuzela ulitakiwa uwe kwenye facebook na sio humu
 
dogo fanya nenda shuleni kwako au shule yeyote yenye comb kama hiyo then muone mwalimu wa taaluma atakusaidia tu ila uandae pesa ya copy na kitambulisho uwe nacho
 
Combination ya egm kuna economics,geography na mathemathematics
 
Nashukuru sana

Tafuta sana hayo makaratasi tena wakupe yakiyo-solved kabisa ukariri hadi namba za maswali, kwenye mtihani wako wakibadirisha neno moja tu,mfano 'mention' ikawa 'outline' urudi hapa jf utwambie necta ilikuwa jiwe balaa! Kila kitabu huwa kina mazoezi ya kujipima mwishoni mwa topic, hicho ndicho kipimo cha uelewa wako na hayo ndiyo maandalizi yako ya necta.
 
Nenda baraza la mitihani hua wanatoa vitabu vya hiyo mitihani iliyopita. Usichukue zaidi ya miaka kumi.
Kumeza mpango mzima! Utaelewa ukiwa unakula hela ya bodi. Au Masterz, lol ma profesa wenyewe hawajawah kuelewa wakija class chenga tuuu.
 
Wewe hamnazo kama past papers hazina umuhimu basi tusingezitunza kabisa.hujauliza hata nazihitaji za nini.
Kwa taarifa yako namtafutia mtu na mimi nimemaliza hzo level zako miaka mingi iliyopita na passmark nzuri ya science.na niko kazini kwa utendaji wa juu sana na hzo past papers nilitumia vizuri tu. UMENIPATA WEWE HAMNAZO USIANZE KULETA POMBE ZAKO
 
Back
Top Bottom