Mwangalumemile
Member
- Apr 22, 2009
- 27
- 1
Ndugu wana JF nisaidieni niweze kupata REMOTE CONTROL NUMBER RM 886 FOR SONY TRINITRON KV29fx11U nimebahatika kununua tv aina tajwa katika mitumba lakini haina remote nasiwezi fanya mambo mengi kwenye tv hii hadi nipate hiyo remote.
au kwa mwnye ufahamu nimegoogle nimeipata e-bay je nafanyeje ili niipate nawasiisha ombi.

MAMA KIBUNJU ebay used wanauza pound 7.50 mpya equivalent to original wanauza pound 15.50 sina uhakika kwa kusafirisha hadi dar na ushuru itagarimu kiasi gani, KAMA INAWEZEKANA WEWE KUNILETEA FANYA HIVYO.nawasilisha.
mpaka dar 50,000 used na 80,000
inapatikana ni pmndugu wana jf nisaidieni niweze kupata remote control number rm 886 for sony trinitron kv29fx11u nimebahatika kununua tv aina tajwa katika mitumba lakini haina remote nasiwezi fanya mambo mengi kwenye tv hii hadi nipate hiyo remote.
Au kwa mwnye ufahamu nimegoogle nimeipata e-bay je nafanyeje ili niipate nawasiisha ombi.
Watu hambadiliki bado mnatumia machogo hadi leo!
inapatikana ni pm
sijaona number yako,ni pmMbona kimya namba yangu nimekutumia