Habari zenu wakuu.
Happy New Year.
Msaada jamani natafuta shule nzuri ya watoto (Nursery) affordable (for middle class) iwe maeneo ya Tegeta, Boko, Bunju, Mbweni na maeneo ya jirani na hayo niliyoyataja. Pia iwe na huduma ya usafiri.
Natanguliza shukurani zangu za dhati