Msaada: Natafuta specialist wa masikio

wasanii hao hakuna masters specific miaka kadhaa kwa sikio tu ,

hao janja janja wewe usha tekwa tayari
MKUU MBONA WATU TULIO KWISHATIBIWA NA HAO HAO NA TUKAPONA. USIPENDE KUWA KATISHA WAGONJWA TAMAA,HAIPENDEZI HATA KIDOGO
 
Ndugu wanajf nimekua nikisumbuliwa kwa Siku kadhaa na sikio ambalo limevimba , linatoa maji kama usaha yenye kunuka n likiambatana na maumivu makali naomba msaada anayejua walipo ma specialist wazuri na gharama ikiwezekana
Umeulizwa uko wapi hujajibu kitu ambacho ni ngumu kwa mtu kuweza kukusaidia jinsi utakavyo wewe.., ie kuelekezwa wanaopatikana wapi...!!!)))
Mfano mtu akisema wanapatikana hospitali utamlaumu kuwa hayuko serious..!!!??
Nenda hospitali yoyote kubwa iwe private au government ulizia unawezaje kuonana na specialist wa ENT(EAR.., NOSE AND THROAT).., hawa jamaa wanaspecialise kwa either miaka mitatu au minne kutegemea na chuo ama nchi aliyosomea baada ya kumaliza elimu yake ya MD(ie undergraduate for either 4 years like USA.., 5 years like Tanzania or 6 years like Russia)....!!!)))
Hao wanaokudanganya kuwa hakuna watu wa namna hiyo Tanzania ni either ubishi usio na tija au ni issue zile zile za Dentist au Nurse kupotosha watu against medical doctors because it's most likely due to the fact that all of those people their dream was to become doctors at some point of their lives but something went wrong somewhere wakajikuta wametokea walipo.., ingawa si wote...!!!)))
Kwa wenye uelewa watanielewa........!!!)))
Taja mkoa uliopo wenye info wakusaidie kirahisi...!!!)))
NB
Dentists wanadili na issues zinazohusiana na meno tu.., pia hata wakipata degree yao still hakuna nchi yoyote duniani wanayoruhusiwa kufanya masters ya ENT...,because it's not and never has it been their area of expertise and probably it will never be....!!!)))
 
ekenywa bwana walinifanyia usaniii test ya aleji 30,000/= halafu unakatazwa kula aina kibao za menu,

mimi masharti yakawa magumu saizi nimepona bila dawa

sasa hawa jamaa sina imani nao tenaaaaaaa
Hahahah mi nilivoenda kupima ngozi wakasema nipime na aleji wakanitoboa toboa ngozi mkononi alafu wakanichora na mark pen ya bluu nikaambiwa nisubiri baadae matokeo yake sasa wamenipiga ban ya misosi mingi kwa miezi mitatu mfululizo alafu wakaniambia nirudi tena baada ya hio miezi kuisha aisee nilichoka.

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
safi ume mfafanulia vizuri sana.NATAMAMI NIKUPE ZAWADI YA KATONI YA MAJI YA KILIMAJARO YA 1.5Lts.
 
Baba sikio LA kufa...............?
 
Kama uko Arusha nenda Patandi chuo cha ualimu pale kuna maspecialist wa masikio kuliko hao wa hospital, kuna watu pale wanadeal na viziwi, wanasaidia watu wenye usikivu mdogo, wanajua magonjwa yote ya sikio nadhani utapata matibabu mazuri kwani hata vifaa vya kuona ndani ya sikio wanavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…