najua kuwa Wizara ya Michezo ya Tanznia imepatiwa ticket za kwa ajili ya mashindano ya world cup, za kuwauzia wananchi wake (kila nchi inapewa fungu lake)
hizi tiketi jamani zinapatikana kwa utaratibu upi?
i need 2 for atleast 2 different matches.
ahsanteni
gaijin ni mtu wa utani sana!....hivi nyie tiketi zenu mme nunua wapi?
hehehehehehe!Jaribu pia kunywa soda za coca cola,nao pia nasikia wana tiketi kadhaa!!
Jaribu pia kunywa soda za coca cola,nao pia nasikia wana tiketi kadhaa!!