Msaada: Natafuta wakala wa Kikuu mkoani Shinyanga

Redpanther

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
2,823
Reaction score
3,816
Habarini za jioni wakuu, binafsi niko poa kabisa.

Ndugu zangu, naombeni msaada wa namna ya kupata mawasiliano ya wakala wa Kampuni ya Kikuu Kanda ya Ziwa hasa hasa mkoa wa Shinyanga.

Nina mzigo wangu nilinunua ila huu mzigo naona kama umekuwa delivered ila mie niliyenunua sijapokea.

Nataka kuwasiliana nao hawa mawakala ili nianze kufuatilia mzigo wangu.

Natanguliza shukrani wakuu na muwe na jioni njema.



Happy dude
 
Wapo mkuu


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Tatzo ni contact ndugu...uliweka namba ya mawasiliano...na kama uliweka...je ulweka ya kwako??...kama uliweka ya kwako je ipo hewani??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…