Msaada, nataka ku-supply matunda kwa kiwanda cha Bakhresa

Msaada, nataka ku-supply matunda kwa kiwanda cha Bakhresa

Jitsu

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2018
Posts
205
Reaction score
191
Wakuu habari zenu,

Kichwa cha habari kinavyosomeka,

Ninaomba yeyote mwenye kujua ni namna gani tender za ku-supply matunda kwenye kiwanda cha kusindika matunda cha bakhresa zinavyopatikana kuna fursa ya mapera mengi sana hapa nilipo, nikaona naweza kuexploit hii kitu ikawa fedha.

Msaada tafadhali

1619427872099.png

 
Waandikie barua,ukionyesha uwezo wako wa kuzalisha kwa siku,ubora wa bidhaa yako,pamoja na gharama zake
 
utapoteza muda wako tu kwa hawa jamaa, wanatoa hela ndogo sana. ni bora hayo matunda ulete hapa mjini na kuuza.
 
Nenda na Lori lako likiwa na shehena ya MATUNDA pale MWANDEGE KIWANDANI, ukifika pale utakutana na MADALALI wenye VIBALI MTAONGEA BEI THEN UTAWAPA MZIGO WATAINGIA NAO NDANI HALAFU WATAKULETEA PESA YAKO MLIYOKUBALIANA,,, BILA hivyo tafuta sehemu nyingine ya kwenda kuuzia.... IN SHORT LAZIMA ULIWE NDO ULE...
 
Back
Top Bottom