ALWATAN KIZIGO
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 539
- 644
Wanajamvi habari zenu.? Kuna kampuni ya vinywaji baridi ipo kariakoo nahitajo niwe wakala wao huko mbeya.Sasa nimekwama kwenye njia ya kusambaza hivyo vinywaji kwa wateja. Je nisambaze mimi mwenyewe kwenye maduka kama koka wanavyofanya au nitumie njia ya kuwauzia wenye maduka ya jumlajumla. Eneo la depot nshalipata tayari tafadharini kama kuna njia nyingine au mwenye uzoefu na biashara za uagent wa makampuni makubwa naombeni michango yenu.