Msaada nataka kua wakala wa kampuni ya vinwaji naombeni michango yenu

ALWATAN KIZIGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
539
Reaction score
644
Wanajamvi habari zenu.? Kuna kampuni ya vinywaji baridi ipo kariakoo nahitajo niwe wakala wao huko mbeya.Sasa nimekwama kwenye njia ya kusambaza hivyo vinywaji kwa wateja. Je nisambaze mimi mwenyewe kwenye maduka kama koka wanavyofanya au nitumie njia ya kuwauzia wenye maduka ya jumlajumla. Eneo la depot nshalipata tayari tafadharini kama kuna njia nyingine au mwenye uzoefu na biashara za uagent wa makampuni makubwa naombeni michango yenu.
 
Tumia mkokoteni kwa kuanzia,,ama kama una pesa ya kutosha basi bajaji
 
Kama una milioni sita niambie nikuuzie suzuki carry nzuri, four wheel drive. Niliagizia straight kutoka Japan
 
Mkuu ni vema kuwa mbunifu,kwani mazingira ya biasha wewe ndiye unayoyajua vizuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…