Msaada nataka kuanziasha financial institution

mekwedweet

Member
Joined
Apr 17, 2009
Posts
12
Reaction score
1
Nataka kuanziasha financial institution. Wadau naomba msaada Wa procedures za kuanzisha hiyo biashara. Tayari nina investors walio tayari kutoa funds za capital na operations. Napatikana kwenye 0713 455 002 kwa mawasiliamo zaidi.
 
Mkuu ungekuwa muwazi, ingekusaidia wewe binafsi na wale wanaotaka kukusaidia. Procedure zinatofautiana kulingana na aina ya FI unayotaka kuanzisha. Wewe unataka kuanzisha ya muundo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…