Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubarikiwe,Mkuu inategemea na scale ya kiwanda unachotaka kuanzisha, kuna Mashine wanauza wachina pale ubungo sh 12m hii ni mashine pamoja na mixer yenye uwezo wa kutoa Tofari nne kwa Mara moja. Pia kuna jamaa wanauza Mashine Tabata dampo mixer sh 3 hadi 4m pia Mashine kati ya sh 1.5 hadi 2.5m.
Nataka nianze kufyatua tofari kwa biashara. Naomba msaada wa gharama za mashine.za umeme na manual. maeneo muhimu kwa mradi kama huo
Natanguliza shukurani zangu za dhati.
Ubarikiwe,
Vipi suala la uimara wa hizo za kichina na hizo za Tabata Dampo
Wanapatikana wapi hawa nile machine?Nenda nile machinery wale wachina ni noma wana vitu vizuri sana
kaka inadepend ni tofali gani.kama interlocking then kuna mtu alinitaarifu kua auto inauzwa sh. Laki 7 huko Zanzibar ila Dar ni 1.5mil
mkuu nahitaji hiyo interlocking tuwasiliane kama hutojali
Nenda nile machinery wale wachina ni noma wana vitu vizuri sana
wewe mchelemchele wa zenji ,hawa jamaa wapo ubungo mellenium parking nea shekilango junctionObama wa Tandale,hao jamaa wapo wapi?maana hata kwenye google contacts zao hazipatikani.
Na Wazoefu mtuambie kati ya hizo za Wachina na za Tabata Dampo zipi imara
Mama Chichi ukija huku nakuitia alshabab.wewe mchelemchele wa zenji ,hawa jamaa wapo ubungo mellenium parking nea shekilango junction