Nina miaka 27 ,Nina kipenda Kiswahili kwa maana ni lugha mama ya Taifa langu ukiacha kabila langu la KIZINZA ,Natamani kufahamu lugha ya kiingereza kwa kuongea na kuandika vizuri Sana.Tafadhali kama kuna mtu anafahamu namna ntakavyoweza kusoma online au kwa vyovyote vile aniambie