Msaada: Nataka kufanya biashara ya madini ya tin

Msaada: Nataka kufanya biashara ya madini ya tin

kidodosi

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
2,306
Reaction score
1,404
Habari ndg zangu,

Kuna jamaa yangu yuko Kagera toka mwaka jana ananishuri tukachimbe madini ya TIN uko kwao kyerwa,
sasa basi, naomba msaada mwenye kujua hii biashara ya madini ya TIN tupeana ushauri.

 
Back
Top Bottom