K kidodosi JF-Expert Member Joined May 1, 2013 Posts 2,306 Reaction score 1,404 Jun 26, 2015 #1 Habari ndg zangu, Kuna jamaa yangu yuko Kagera toka mwaka jana ananishuri tukachimbe madini ya TIN uko kwao kyerwa, sasa basi, naomba msaada mwenye kujua hii biashara ya madini ya TIN tupeana ushauri.
Habari ndg zangu, Kuna jamaa yangu yuko Kagera toka mwaka jana ananishuri tukachimbe madini ya TIN uko kwao kyerwa, sasa basi, naomba msaada mwenye kujua hii biashara ya madini ya TIN tupeana ushauri.