Lavan Island
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 2,377
- 2,048
Habari wana Jf nimeamua kufungua daycare baada ya kuhitimu diploma ya childhood education nimeamua nijiajiri,hivyo ninaomba mwenye uelewa wa taratibu za kufuata anielekeze tafadhali.Ushauri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kwanini hua nashindwa kujizuwia ninapoona vijana wanashindwa kujielewa pamoja na kusoma lakini hamjaelimika.Habari wana Jf nimeamua kufungua daycare baada ya kuhitimu diploma ya childhood education nimeamua nijiajiri,hivyo ninaomba mwenye uelewa wa taratibu za kufuata anielekeze tafadhali.Ushauri
Inawezekana mkuuu😀😀😀Lakini nisikulaumu maana yawezekana haya ndio matokeo ya Royal Tour...😂
Njoo inbox achana na hawa wazee wenye stress.Habari wana Jf nimeamua kufungua daycare baada ya kuhitimu diploma ya childhood education nimeamua nijiajiri,hivyo ninaomba mwenye uelewa wa taratibu za kufuata anielekeze tafadhali.Ushauri
Sasa inbox aje kufanya nini tena shabiki mwenzangu wa Makolo FC! Mwaga mchele kwenye kuku wengi ili wagombanie.Njoo inbox achana na hawa wazee wenye stress.
Punguza ujuaji mbweha wewe kwan kipi hujaelewa hapo? Au kichwa yako ngumuSijui kwanini hua nashindwa kujizuwia ninapoona vijana wanashindwa kujielewa pamoja na kusoma lakini hamjaelimika.
Kimsingi ulipaswa useme/utaje maandalizi yako. Ili upate kushauriwa vizuri, ulipaswa useme umejiandaaje na umekwama wapi.
Wazee tunasemaga kwamba tamaa bila mipango hauwezi toboa.
Samaha dada naomba nikupuuze tafadhali, yawezekana ushavurugwa huko na lile jambo lenu mtambuka...😜Punguza ujuaji mbweha wewe kwan kipi hujaelewa hapo? Au kichwa yako ngumu
Anyway mimi ingekuwa ndo wewe
Ningeanza
Labda andaa kiwanja walau hk 2 mpaka 4
Andaa moja mbili tatu
Kisha nenda ofisi flan wanakuja kukagua kisha watakupa mwongozo ABC
Unakwama wapi
Huku mnamkatisha tamaa anajiona mkosajiSasa inbox aje kufanya nini tena shabiki mwenzangu wa Makolo FC! Mwaga mchele kwenye kuku wengi ili wagombanie.
Hakuna mwanaume wenye tabia za kwakoSamaha dada naomba nikupuuze tafadhali, yawezekana ushavurugwa huko na lile jambo lenu mtambuka...[emoji12]