SOCIETY'S FOCUS
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 498
- 685
Mimi ni kijana mjasiriamali, ni fundi simu pia nauza vifaa vya simu kama mic, housing, ac, speaker, screen n.k
Nimepata mtaji wa millioni mbili nawaza kufungua duka la kuuza simu, bidhaa nichukulie Nairobi Kenya, nifanyeje?
mimi nipo Singida.
Nimepata mtaji wa millioni mbili nawaza kufungua duka la kuuza simu, bidhaa nichukulie Nairobi Kenya, nifanyeje?
mimi nipo Singida.