SOCIETY'S FOCUS
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 498
- 685
Mimi ni kijana mjasiriamali, ni fundi simu pia na uza spair ndogo ndogo za simu kama mic, housing, ac, speaker, screen n.k nimepata mtaji wa millioni mbili. nawaza kufungua duka la kuuza simu, bidhaa nichukulie nairobi kenya, nifanyeje? mimi nipo SINGIDA
Sasa mkuu ndo umeandika nini hiki? Nguruwe za Mulugo bwana! Umeanza vizuri kwamba K'Koo kuko vizuri bei ni rahisi sana lakini unakuja kuhitimisha kwa kumsisitiza aende Nairobi!! Kazi kweli kweli!kariakoo kuna cheap parts etc kuliko data china kwenyewe,una haja ya kwenda Nairobi
hivi kariakoo yapo maduka ya simu ya wholesale? tuelekezeni yako wapi wandugu?kariakoo kuna cheap parts etc kuliko data china kwenyewe,una haja ya kwenda Nairobi
Ukija huku mikoa ya Kusini kuna baadhi ya makabila hawana "H" na "M". Badala ya kuandika "Mtwara", itaandikwa 'Ntwara" n.k. lakini maana inaeleweka kwao! Nitafurahi sana ukiniambia wewe uliwahi/kushirki kutunga kamusi ya kiwahili sanifu; vinginevyo hayo ni makosa ambayo kwa wengine hayazuiliki.Sasa mkuu ndo umeandika nini hiki? Nguruwe za Mulugo bwana! Umeanza vizuri kwamba K'Koo kuko vizuri bei ni rahisi sana lakini unakuja kuhitimisha kwa kumsisitiza aende Nairobi!! Kazi kweli kweli!
Jifunze kiswahili fasaha. Una au Huna? Una haja ya kwenda Nairobi maana yake anatakiwa aende Nairobi. Huna, Hatakiwi.
Hata kama yapo, inawezekana ikawa zaidi ya China? Tuache uwongo na unafiki. Kuna kiwanda cha uzalishaji simu kariakoo? Toa ushauri wenye mashiko acha blaa blaa.
Boss Una Hakika mimi ni mwongo na mnafiki? unajijua vizuri?Hata kama yapo, inawezekana ikawa zaidi ya China? Tuache uwongo na unafiki. Kuna kiwanda cha uzalishaji simu kariakoo? Toa ushauri wenye mashiko acha blaa blaa.
Sasa mkuu ndo umeandika nini hiki? Nguruwe za Mulugo bwana! Umeanza vizuri kwamba K'Koo kuko vizuri bei ni rahisi sana lakini unakuja kuhitimisha kwa kumsisitiza aende Nairobi!! Kazi kweli kweli!
Charge zinazouzwa mikoani 5000 Kariakoo ni 1500 to 2500.mfano leo Asubuhi Betri ya Samsung S3 posta mpya na mlimani city ni 40,000 kariakoo nimenunua 20,000. Maduka yapo karibu na round about ya Uhuru upande wa kushoto kama unaelekea jengo la simba sport club.
hope meseji imefika, hapa sio sehemu ya kurekebishana Kiswahili,nimesoma wakati nyerere akiwa bado Rais,kuna mdau anainiita mimi nguruwe wa Mlugo &^%%$$ zake
nimecheka sana nilikuwa sijaona vizuri kumbe bado anasema aende nairobi ambako ndo hakufaiSasa mkuu ndo umeandika nini hiki? Nguruwe za Mulugo bwana! Umeanza vizuri kwamba K'Koo kuko vizuri bei ni rahisi sana lakini unakuja kuhitimisha kwa kumsisitiza aende Nairobi!! Kazi kweli kweli!
mkuu naomba hilo jina la duka nami nipite one time plzCharge zinazouzwa mikoani 5000 Kariakoo ni 1500 to 2500.mfano leo Asubuhi Betri ya Samsung S3 posta mpya na mlimani city ni 40,000 kariakoo nimenunua 20,000. Maduka yapo karibu na round about ya Uhuru upande wa kushoto kama unaelekea jengo la simba sport club.
hope meseji imefika, hapa sio sehemu ya kurekebishana Kiswahili,nimesoma wakati nyerere akiwa bado Rais,kuna mdau anainiita mimi nguruwe wa Mlugo &^%%$$ zake
Jina lako tu linaonesha ni kweli ulisoma enzi za rais Mwl.Nyerere,......""Chipukizi...jeuri ya Chama!!!."".Siku hizi kimekua chama feki :smash: