mchakavumlasana
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 389
- 212
Siku utatoka huko kijijini kwenu ndio utaelewa. Mbona mwenge vijana wengi wakiume wanapiga iyokazi. Kariakoo ivoivo. Hapo bado hujakwenda Botswana uone wazambia nawa Angola wanavo suku wanake. Acha ushamba kijana.Hiv ata mwanaume anaweza fungua hii kitu
Kwanza kabisa iyo Saloon umepanga kuifungulia sehem gani. Mkoani ao hapa hapa Dar, alafu kitu chakuzingatia kwenye hii biashara ya saloon ni mtaji. Namaanisha umejiandaa na kiasi gani kama mtaji. Vifaa vyasaloon vipo kwa bei tofauti tofauti. Kwakumalizia kabisa ipo saloon inauzwa kama bado unaitaji ni Pm nikupe mawasiliano ya Mmiliki muongee wenyew. Saloon yake niya kisasa.Habari wanajamvi,
Nataka kumfunfulia saluni Dogo aweze kupata riziki ya kila siku....hana uzoefu na biashara hii ingawa anapenda. Hivyo Tafadhali mwenye uzoefu a-share nasi hapa kupata ujuzi zaidi.
Gharama za vitendea kazi kama dryers za chini na juu....stemer(spelling)
Viti vioo nk nk
Kipi muhimu sana
Kwa saluni za kileo nini kiwepo kipi kisiwepo
Shukrani
Malipo ya wafanyakazi au makubaliano mnafanyaje
Ndiyo kuna jamaa ana saloon yake ya kike mitaa ya Survey naona wadada wanamsifia kuwa anaosha nywele vizuriHiv ata mwanaume anaweza fungua hii kitu